Friday, October 10, 2014

NICK WA PILI KUWA MSANII WA KWANZA WA BONGO FLAVOUR KUCHUKUA PhD TANZANIA.



 Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD , Rapper wa ngoma ya "sitaki kazi" 

Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ameapply na amepata nafasi chuo kikuu cha Dar es salaam na week ijayo anaanza registration, alipoulizwa kuhusu Music  alijibu kuwa kwasasa ameshakua na Mashabiki wake wataendelea kupata vitu vikali kama kawaida.

No comments:

Post a Comment