Thursday, October 09, 2014

Documentary ya G Unit Reunion 2014


katika part one ya ducumentary ya kuungana kwa G unit kwa mara ya pili. members hao watano wanaonekana wakiwa kwenye round table waki-discuss kiundani zaidi juu ya kuvunjika kwa kundi hilo, ugomvi na kuungana tena kwenye Summer Jam 2014.

No comments:

Post a Comment