Thursday, October 09, 2014

Baada ya kusambazwa kwa picha hii ya askari waki-kiss, Jeshi la polisi latoa Tamko


meaminika kuwa wawili hao ni Trafick kutoka mkoa wa Kagera, na kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa tayari Jeshi la Polisi Kagera limechukua uamuzi wa  kuwafukuza kazi askari hawa wawili pamoja na askari aliepiga picha hii kupitia simu yake ya mkononi.


No comments:

Post a Comment