Wednesday, October 22, 2014

OSCAR PISTORIUS AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 5 JELA.

Mwanariadha Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva steenkamp bila kukusudia. Pia Oscar amehukumiwa kifungo cha miaka 3 kilichojumuishwa kwenye kifungo cha miaka 5 kwa kosa la koshoot bastola kwenye mgahawa huko johannesburg january mwaka jana.
Pistorius mwezi uliopita alikutwa na kosa la kuua bila kukusudia na kutumia silaha kinyume cha sheria kwenye matukio tofautitofauti.

No comments:

Post a Comment