Friday, October 03, 2014

WANAWAKE WAWILI WATAJWA KUVUNJA UCHUMBA WA ROSE NDAUKA


STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka ameanika ukweli kuhusu uhusiano wake na aliyekuwa mchumba wake Malick Bandawe baada ya kuwagundua wanawake wawili aliozaa nao mbali na yeye

Akaongeza: “Kile kilichosemwa na Malick kuwa anasikitika kuona mtoto wake anakwenda kulelewa na mwanaume mwingine ni kujitetea tu lakini ukweli ni kwamba mwanaye analelewa na yeye mwenyewe kwa sababu yuko nyumbani kwa mama yeke.” Juzi, paparazi wetu alimtafuta Rose kwa njia ya simu yake ya mkononi, alipopatikana na kusomewa madai hayo alikata simu huku akisikika akisema hayuko tayari kufunguka lolote kwa sasa

No comments:

Post a Comment