Wednesday, December 10, 2014

Ni Victoria Kimani kwa mara nyingine… Itazame video yake mpya ya show iko hapa



Baada ya Prokoto kufanya vizuri, msanii kutoka Kenya kaamua kutoka na nyingine tena.
Naomba nikuletee hii, hakuwahi kukosea kwenye zile dancing zake za nguvu unajua nini Victoria Kimani kakifanya kwenye hii mpya?
Tumia dakika zako tatu kuitazama video hiyo hapo.


No comments:

Post a Comment