Wednesday, December 10, 2014

Kuna picha za mwonekano mpya wa Bieber, unajua kazifanya nini nywele zake?

Hii ni kawaida kwa mastaa, unakumbuka Wayne Rooney kuotesha nywele kwenye upara wake? Leo ni Justin Bieber…

Bieber ameonekana akiwa na mwonekano mpya wa nywele zake lakini haijajulikana sababu ya kubadili nywele hizo, ingawa inasemekana ameshauriwa kufanya hivyo na rafiki yake ili awe na mwonekano mpya.
Rafiki yake wa karibu amesema Bieber anafurahia mwonekano wa kuweka Blond japo fans wake walionekana kucomment wakimponda kwa kutopendezwa na mwonekano huo.



No comments:

Post a Comment