Monday, September 08, 2014

Ajali nyingine ya kutisha

Aliekuwemo kwenye hili basi ndio amenitumia hizi picha na kuniambia watu wasiozidi watano wamefariki dunia wengine zaidi kujeruhiwa baada ya basi lao kuanguka Mkange Berega.
Basi linaitwa Air Bus na limepata ajali likielekea Dodoma kutokea Morogo na ni baada ya kifaa cha usukani kushindwa kufanya kazi ambapo muda mfupi baadae anasema alisikia tu dereva akipiga kelele na kisha kikafata kishindo, basi likaacha njia na kwenda bondeni.
ytnax.blogspot.com










 inaendelea kufatilia ili kupata taarifa kamili ili kujua idadi ya vifo na majeruhi pamoja na taarifa nyingine ambapo ajali hii imetokea siku tatu baada ya Waziri wa uchukuzi Dr. Harryson Mwakyembe kufungia kampuni mbili za mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yaliyogongana na kuua 39 Musoma.

No comments:

Post a Comment