Sunday, September 28, 2014

KAJALA AIONYESHA MOVIE YAKE YA MBWA MWITU,MLIMANI CITY

STAA wa Bongo Fleva, Kajala Masanja pamoja na timu yake ya Kay Entertainment kampuni mpya ya kuzalisha filamu ambayo iko chini yake, jana usiku pande za Mlimani City waliionyesha filamu yao ya kwanza inaitwa Mbwa Mwitu.Filamu hiyo ambayo ina historia ya ukweli inahusu genge la vijana wahalifu waliokuwa wakisumbua jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment