Friday, October 03, 2014

Walichokifanya Mtanzania Shaa na Jackie wa Uganda ndani ya hizi dakika 4. @CokeStudioAfr

Shaa ni miongoni mwa wakali ambao Tanzania inajivunia wao kwenye stage.. historia yake na muziki wake vimeanzia mbali na ameweza kuwa miongoni mwa mastaa wa bongofleva ambao hawajawahi kupotea kwenye headlines.
Tazama alichofanya Shaa kwenye hii video hapa chini…


                                   

No comments:

Post a Comment