Tuesday, September 09, 2014

JAJI RAMADHAN ACHAGULIWA RAIS

JAJI RAMADHAN ACHAGULIWA RAIS: Jaji Augustino Ramadhan amechaguliwa na Majaji wenzie kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu jijini Arusha leo.
http://www.mwananchi.co.tz/habari/habari-ya-ndani/-/1724700/2132296/-/11t2gc9z/-/index.html
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mchungaji Augustino Ramadhani, hivi punde amechaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu. Mahakama hii ina Makao yake Makuu jijini Arusha,Tanzania. Ni Mahakama hii ndiyo iliompa ushindi Mchungaji Christopher Mtikila kaika shauri lake lililohusu Mgombea binafsi.

HJaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mchungaji Augustino Ramadhani, hivi punde amechaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu. Mahakama hii ina Makao yake Makuu jijini Arusha,Tanzania. Ni Mahakama hii ndiyo iliompa ushindi Mchungaji Christopher Mtikila kaika shauri lake lililohusu Mgombea binafsi.

No comments:

Post a Comment