Tuesday, September 09, 2014

MGOMO IRINGA SIKU YA PILI MFULULIZO

Abiria mjini iringa wakwama usafiri leo siku ya pili mfululizo
ni baada ya mgomo wa daladala kuingia siku ya pili mfululizo kupinga
bajaji kutoa huduma kwa bei ndogo zaidi.

No comments:

Post a Comment