Wednesday, October 15, 2014

DIAMOND VS ALI KIBA KUKUTANA JUKWAA MOJA FIESTA LEADERS CLUB

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz amekuwa akitajwa kuwa katika bifu nzito na msanii mwenzake Ally Kiba, na ukipita sehemu mbalimbali ligi ni hiyo Diamond Vs Ally Kiba nani mkali, kiasi cha kwamba namba kubwa ya watu imejigawanya mara mbili, na Ally Kiba amesikika mara kadhaa akizungumzia ishu hii.

No comments:

Post a Comment