Wednesday, October 15, 2014

HILI NI JAMBO LA MUHIMU UNALOTAKIWA KULIJUA KUHUSU MISS TANZANIA 2014

Je, ulikua unafahamu kuwa Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ni mtoto wa damu kabisa wa Mbunge wa wilaya ya Temeke Mh.Abass Mtemvu? kama ulikua haufahamu basi fahamu kuanzia sasa.

No comments:

Post a Comment