Tuesday, September 09, 2014

Mchezaji wa NFL afungiwa kucheza baada ya kusambaa kwa video akimpiga ngumi mchumba wake mpaka kuzimia, Mchumba wake ambae ni mkewe kwa sasa amtetea

 Mchezaji wa team ya football ya Baltimore Ravens, Ray Rice amefungiwa kucheza mpira huo na chama cha mpira Marekani NFL (National Footbal League) baada ya video inayomuonyesha akibishana na baadae kumpiga Mchumba wake "Janey Palmer" ngumi iliyompelekea kuzimia wakiwa ndani ya lift mwezi February.


Chama hicho kimemfungia mchezaji huyo ambae alikuwa na mkataba wa miaka 5 kwa dolla milioni 40 tangu mwaka 2012.
Mchumba wake huyo ambae ni mkewe kwa sasa amemtetea mume wake na kuvilaumu vyombo vya habari juu ya maumivu waliyomsabibishia yeye pamoja na familia yake na kuwakumbusha moment katika maisha yao ambayo wanaijutia kila siku kuwa nikitu kibaya na kuendelea kusema kumnyang'aya mwanaume nnayempenda kitu ambacho amekifanyia kazi miaka yake yote ili ti kupata rating ni mbaya sana
kupitia instagram page yake hiki ndicho alichokiandika
"I woke up this morning feeling like I had a horrible nightmare, feeling like I'm mourning the death of my closest friend. But to have to accept the fact that it's reality is a nightmare in itself."

aliendelea kwa kuandika
 "No one knows the pain that the media & unwanted options from the public has caused my family. To make us relive a moment in our lives that we regret every day is a horrible thing. To take something away from the man I love that he has worked his ass of for all his life just to gain ratings is horrific."

Rice alimalizia post kwa kuandika, "THIS IS OUR LIFE! What don't you all get. If your intentions were to hurt us, embarrass us, make us feel alone, take all happiness away, you've succeeded on so many levels. Just know we will continue to grow & show the world what real love is! Ravensnation we love you!"

No comments:

Post a Comment