Thursday, October 09, 2014

ORODHA YA MARAISI 9 MATAJIRI ZAIDI WA AFRIKA

 Mtandao wa Richestlifestyle.com umetoa orodha ya maraisi 9 wa kiafrika matajiri zaidi, orodha hiyo inaongozwa na raisi wa Angola JoseEduardo dos santos akiwa anamiliki utajiri wa dollar Billion 20 za kimarekani na raisi wa Kenya, Uhuru kenyata ndio raisi pekee kutoka Afrika Mashariki aliyeingia kwenye orodha hiyo.



9.ROBERT MUGABE (ZIMBABWE) -  DOLLAR MILLION 10

8.IDRIS DEBBY (CHAD)- DOLLAR MILLION 50

7.GOODLUCK JONATHAN (NIGERIA)- DOLLAR MILLION 100

6.KING MSWATI 3 (SWAZILAND) – DOLLAR MILLION 100

5. PAUL BIYA (CAMEROON) – DOLLAR MILLION 200

4.UHURU KENYATA (KENYA) – DOLLAR MILLION 500

3.TEODORO OBIANG NGUEMA MBASONGO(GUINNEA) – DOLLAR MILLION 600

2.KING MOHAMMED VI (MOROCO ) – DOLLAR BILLION 2.5

1.JOSE EDUARDO DOS SANTOS (ANGOLA) – DOLAR BILLION 20

No comments:

Post a Comment