Waziri Mkuu afanya ziara ya kushtukiza tena bandarini na Shirika la Reli (TRL) Dar, akuta makontena 2431 yamepita bila kodi, atoa saa 3 majina yote yapatikane. -Alipotembelea Shirika la Reli amekuta mabilioni yametumika na miradi iliyokusudiwa haijatekelezwa.Zaidi, Soma => http://goo.gl/6DL3hM
No comments:
Post a Comment