Saturday, September 20, 2014

Nane mbaroni kwa vurugu Chadema

SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti maandamano yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wafuasi watatu wa chama hicho wamefikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam na wengine watano wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro.

zaidi....  http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/29818-nane-mbaroni-kwa-vurugu-chadema

No comments:

Post a Comment