Thursday, October 16, 2014

ALICHOSEMA CHRIS BROWN KUHUSIANA NA EBOLA



Mkali wa kibao cha "Loyal" Chris brown kwa mara ya kwanza ametoa maoni yake kuhusiana na ugonjwa wa ebola, kupitia mtandao wa Twitter Chris brown alisema kwa jinsi anavyoona yeye ugonjwa wa Ebola ni moja ya njia za kupunguza ongezeko la watu duniani 


Baada ya Muda alishambuliwa na Mashabiki na hata watu maarufu, Chris akaamua kutweet



No comments:

Post a Comment