Saturday, November 01, 2014

Ajali mbaya yatokea daraja la Wami ikihusisha basi na Lori.

Ajali mbaya imetokea eneo la daraja la Wami majira ya asubuhi ikihusisha basi la abiria la Simba Mtoto na gari la mizigo zilizogongana uso kwa uso.
Taarifa za awali zinasema majeruhi ni 3 katika ajali hiyo, lakini hakuna taarifa rasmi kuhusiana na vifo, kwa taarifa zaidi tutaendelea kukufahamisha kupitia ytnax.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment