Friday, October 31, 2014

AJALI YA HIACE NA LORI LA MAFUTA ARUSHA, YAUA 12

Ajali mbaya imetokea jioni ya jana katika eneo la Tengeru,Jijini Arusha ikihusisha gari dogo aina ya Toyota Hiace (pichani juu) linalofanya safari zake kati ya Usa River na Katikati ya mji wa Arusha na Lori la Mafuta.

Chanzo cha Ajali hiyo inaelezwa kwamba ni  daladala lilikuwa likijaribu kulipita gari jingine ndipo likakutana na loli hilo la mafuta na kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya abiria 12 waliokuwa kwenye daladaa hiyo .

taarifa kamili itaendelea Kuwajia kupitia mtandao huu.

No comments:

Post a Comment