Monday, November 17, 2014

PICHA ZAWA NGUMZO BAADA YA KUONYESHA HAZINA KIFUANI YA .V.MONEY, NI PICHA ZA SINGLE MPYA YA BARNABA FT VANESSA MDEE "SIRI"

Baada ya hii picha kupostiwa yaliandikwa haya maneno >>> Barnaba : line 1/ Tren Langu la kutongoza limefunga (:brake )na Kituo ndo wewe kipenzi Sina mengi Mimi Sio Mtoto wa mujini Nimefunzwa Jandoni Kipenzi- Vanessa :line 1 Hadithi Hadithi uwongo Njoo Haya nieleze Porojo mie bado Mdogo !! Ivi ni Juzi ulikuja na Mauwa . Kulikua na Barua ila sikuifungua’ Song … SIRI … Loading………..:::: traffic ……. Mjiandae kukinga Ajali za masikio ya watu !!! @vanessamdee


No comments:

Post a Comment