Thursday, October 16, 2014

Mapokezi ya meneja wa T I yaleta furaha kwa wapenda burudani wote n'je na ndani ya Tanzania


Nifuraha kubwa kwa wapenda burudani wote nchini na n'je ya nchi kwa ujio wa meneger wa msanii mkubwa wakimataifa T I kuwasili katika aridhi ya Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Nyerere,furahiyo nikwasababu huu ni usibitisho wa msanii huyo wa kimataifa kuja kwajili ya Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam jumamosi hii 18 oct 2014 pale pale ledears club.



No comments:

Post a Comment