Thursday, October 16, 2014

T.I KUZINDUA MAVAZI ZAKE TANZANIA.

Msanii kutoka Atlanta Marekani T.I anaedondoka Jumamosi  hii kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta pale Leaders club, imetangazwa rasmi kuwa siku ya Jumamosi tarehe 18 mavazi ya Rapper huyo Hustle gang,Akoo na strivers row yatazinduliwa kwenye duka la Pop up .T.I ndio Boss wa Hustle Gang Records ambayo inasimamia kazi za wasanii wakubwa kama B.O.B na mwanadada anayefanya vizuri kwasasa Iggy azalea .


No comments:

Post a Comment